:Mafarao Wameamka Tena Na Mitaa Inapewa Njia ya Kutoboa Kupitia Books of Egypt
Mtaani habari inayotikisa ni moja tu, kurejea kwa farao wa ushindi na kutia timu Meridianbet…
Mtaani habari inayotikisa ni moja tu, kurejea kwa farao wa ushindi na kutia timu Meridianbet kwa lengo la kukurudishia utajiri wako uliokuwa unasubiri. Hapa kuna Books of Egypt inayokupeleka moja kwa moja enzi za Misri ya kale, ambako nguvu, imani na uthubutu vilikuwa tiketi ya mafanikio. Ukiingia hapa, ujue unaingia kwenye uwanja wa wanaojua kusaka…
Global Publishers April 5, 2026 0 Comments Uchunguzi uliofanywa na Global TV kupitia makala yake maalum umeweka wazi ukweli unaoshtua kuhusu biashara ya mafuta ya kula ya magendo nchini. Biashara hii, ambayo imekuwa ikisambaa kimyakimya, inaonekana kuwa na mtandao mpana unaovuka mipaka na kuhusisha wahusika mbalimbali kutoka ngazi ya usafirishaji hadi wauzaji wa rejareja. Kwa…
Canada. Kuna visa vinavyozidi kuongezeka ambapo wanandoa hutoana roho kisa mali. Japo tutakachojadili hapa si kipya, kuna mafunzo mapya tunaweza kutoa kutokana na ama uzoefu wetu au wenu. Hivi karibuni,visa vya wanadoa kutoana uhai juu ya mali vimezidi kushamiri. Si kwamba havikuwepo, vilikuwapo ila siku hizi vimezidi. Hii ni kutokana na utandawazi na uelewa wa…
Dar es Salaam. Dakika chache za mwanzo mnapokutana na mwenza wako baada ya kutengana kwa muda, hata kama si mrefu, zina umuhimu mkubwa katika kuimarisha au kudhoofisha uhusiano wenu. Huenda mwenza wako alikuwa kazini au safarini, na kwa muda huo ukawa ukimkosa au hata hisia hizo zikaanza kupoa. Unapokutana naye tena iwe ni uwanja wa…
MUDA mchache baada ya leo Aprili 5, 2026 Singida Black Stars kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa TRA United katika mechi ya Ligi Kuu Bara, Walima Alizeti hao wamevunja benchi lote la ufundi. Taarifa iliyotolewa na uongozi wa klabu hiyo, imesema umefikia uamuzi huo kufuatia mwenendo mbaya wa matokeo yasiyoridhisha katika kipindi cha hivi…
Mwanza. Fikiria hali hii: mke anapata mshahara mkubwa kuliko mume. Je, hiyo ni baraka kwa familia au mwanzo wa migogoro? Kwa miaka ya hivi karibuni, mada hii imezua mjadala mkubwa, hasa kufuatia kazi za kitafiti zinazodai kuwa ndoa ambazo mwanamke ndiye mtoa kipato mkuu, zinaweza kuwa na hatari kubwa ya kuvunjika. Hata hivyo, je, ni…
ZAIDI ya wanamichezo 5000 wanatarajia kukutana jijini Mbeya kwa ajili ya kushiriki michuamo ya Shirikisho la Michezo kwa Serikali za Mitaa Tanzania (Shimisemita) itakayoanza Agosti 15 hadi 29 mwaka huu, huku wenyeji Jiji la Mbeya wakitamba kufanya vizuri. Michuano hiyo inatarajia kushirikisha Halmashauri zote 184 hapa nchini na mwaka huu kitaifa itafanyika jijini Mbeya, huku…
Dar es Salaam. Wakati mjumbe wa shina namba sita wa Tawi la Mkwajuni Kata ya Vijibweni, Kigamboni, Aloyce Msiagi akieleza namna mtuhumiwa wa mauaji ya Linah Kabamba alivyomburuza dada yake kutoka koridoni alikofanyia mauaji hadi chumbani, baba mdogo wa marehemu amesema marehemu alimchukua mdogo wake huyo na kuishi naye akimfundisha kazi. Linah ambaye ni mama…
Waziri wa Fedha na Mipango, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) akiwa kwenye picha ya pamoja na wenyeviti wa Bodi na Wakurugenzi wa Mashirika na makampuni ambayo serikali ina hisa chache kwenye mkutano wa mwaka 2026 uliyofanyika jijini Arusha , waliosimama wa kwanza kulia , ni Meneja Mkazi wa Barrick nchini , Dkt. Melkiory Ngido Waziri…
Geita. Kesi mbili zinazowakabili wabunge wawili wa majimbo ya Chato na baadhi ya madiwani, zimeahirishwa baada ya watuhumiwa kushindwa kufika mahakamani kwa sababu mbalimbali. Kesi hizo zinazowahusu Mbunge wa Chato Kusini, Paschal Lutandula na Mbunge wa Chato Kaskazini, Cornel Magembe pamoja na madiwani wanne akiwemo aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato, Bathoromeo Manunga,…