WANAWAKE, VIJANA ZAIDI YA 1,000 KUNUFAIKA MRADI WA NISHATI SAFI
Na Mwandishi Wetu Zaidi ya Wanawake na Vijana 1,500 wanatarajiwa kufaidika na mafunzo ya nishati safi mradi ambao unatekelezwa baina ya serikali na Shirika la maendeleo ya kijamii (REDESO) kupitia vyuo sita za Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) nchini. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Februari 27,2026…