Hofu ya ‘kibamia’ inavyotesa wanaume wengi
Mwanza. Ukubwa wa uume ni mada ambayo wanaume wengi huijadili kwa sauti ya chini, kwa aibu au kwa mzaha, lakini ndani yake ikiwa imejaa hofu na mashaka. Katika vijiwe vya kahawa, makundi ya marafiki na hata faraghani ndani ya ndoa, swali la wanaume wengi limekuwa lilelile; je, nina ukubwa wa kutosha? Nitamridhisha mke wangu? Kadiri…