WAZIRI KAIRUKI AYAFUNDA MASHIRIKA YALIYOCHINI YA WIZARA YAKE, AWATAKA KUWA WABUNIFU
Serikali imesema inatilia mkazo katika ulinzi na usalama wa kidijital ili kulinda miundombinu dhidi ya vitisho vya kimtandao ambavyo vinaweza kutumiwa na wahalifu wa ndani na nje ya nchi na kuhatarisha usalama wa wananchi na mali zao. Akizungumza jijini Dodoma leo Februari 26, 2026 Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe Angella Jasmine Mbelwa…