UMBALI MREFU SABABU YA WANAFUNZI KUTOFANYA MTIHANI
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Biharamulo, Innocent Mkandara. ………. IMEELEZWA kuwa umbali mrefu wa kufika shuleni pamoja na wazazi kuhama makazi yao ya awali pasipo kutoa taarifa rasmi za wanafunzi wanaosoma shule za msingi wilayani Biharamulo mkoani Kagera ni chanzo cha kuporomoka kwa idadi ya watahiniwa wa darasa la nne. Hayo yamesemwa na mkurugenzi mtendaji…