Trump: Iran Inatengeneza Makombora Ya Kushambulia Marekani Hataruhusu
Global Publishers February 25, 2026 0 Comments Rais wa Marekani, Donald Trump Rais wa Marekani, Donald Trump, amewasilisha kwa ufupi hoja yake kuhusu uwezekano wa kushambulia Iran katika hotuba yake ya Hali ya Taifa kwa Bunge la Marekani siku ya Jumanne. Trump amesema Iran inatengeneza makombora yanayoweza hata kushambulia Marekani lakini hataruhusu Iran akiitaja kama…