Migogoro ya vyama vya siasa ni mifumo au lawama ziendelee!
Dar es Salaam. Wakati Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini ikiendelea kuvitupia lawama vyama na viongozi wake kwa kuibua migogoro kutokana na kutokuzingatia katiba na maadili yao huku ikichukua hatua za kinidhamu mara kadhaa, hali ya mivutano ndani ya vyama hivyo imeendelea kushika kasi. Kwa upande wao, baadhi ya viongozi wa vyama wamekuwa…