FYATU MFYATUZI: Nimewasamehe ‘mamluki’ waliokinukisha tukanuka

Juzi, Fyatu mmoja aliyefyatuka bila aibu wala woga akanifyatua na kuzusha kuwa nina uroho wa madaraka kana kwamba yeye hanao! Nani asiyependa madaraka? Kwanza, sikuamini ningehusishwa na dhambi hii ambayo chanzo chake ni shetani kutaka kumfyatua Sir God aliyemfinyanga asijue. Huwa nashangaa. Kwanini Sir God ‘mjua yote’ hakujua kuwa sheitwan angejaribu kumfyatua? Siishii hapo. Kifyatufyatu,…

Read More

Mama lishe aliyegeukia udereva wa daladala

Dar es Salaam. “Asante, rubani wetu! Asante, mwanamke wa shoka, kwa kutufikisha salama salmini! Mungu akubariki sana!” Haya ni baadhi ya maneno yanayosikika kutoka kwa abiria wakimpongeza Joyce Foya kila anapowafikisha salama mwisho wa safari zao. Kauli hizo si za kawaida katika usafiri wa daladala, jijini Dar es Salaam, bali ni ishara ya heshima na…

Read More

UCHAMBUZI WA MJEMA: Ziara za Mwigulu zinaonyesha ombwe kwa taasisi imara

Katika ziara ya Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba inayoendelea mikoa mbalimbali, tunashuhudia akitatua na kuzipatia ufumbuzi papo kwa hapo, kero zinazowakabili watanzania lakini hili linathibitisha ombwe la taasisi imara. Ninasema hivyo kwa sababu kuna kero au changamoto zingine zingeweza kutatuliwa na wateule wengine wa Rais kama wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi…

Read More

RC SHIGELA AKABIDHI GARI ZA ZIMAMOTO BUKOMBE

Wananchi wa wilaya ya Bukombe mkoani Geita sasa wanaweza kupumua kwa amani baada ya Serikali ya Awamu ya Sita kukamilisha ahadi yake ya kuimarisha huduma za uokoaji na zimamoto wilayani humo. Katika hafla iliyopambwa na matumaini makubwa, Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela, amekabidhi magari ya msaada wa zimamoto ambayo yatakuwa mkombozi mkubwa katika…

Read More

Naibu Waziri Mkama Ahimiza Ushirikiano na Uwajibikaji kazini

Na Mwandishi Wetu, WMTH – Mtumba, Dodoma Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Switbert Zacharia Mkama (Mb.), amewatak Watumishi wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuimarisha ushirikiano kati ya wafanyakazi na Menejimenti ili kuhakikisha haki, motisha na tija vinatimizwa. Amebainisha hayo tarehe 24 Februari, 2026 wakati akifungua Mkutano wa Baraza…

Read More