Waziri Riziki awataadharisha wawekezaji kwenye sanaa Zanzibar
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Zanzibar Riziki Pembe, ametoa wito kwa wawekezaji kwenye sanaa Zanzibar kuzingatia mila na tamaduni. Akiwa kwenye tamasha la Sauti za Busara, Februari 5,2026 Riziki amesema miundombinu ya Zanzibar ni rafiki kwa wawekezaji wa aina zote ikiwemo biashara, kisanaa ndiyo maana hata filamu ya The Royal Tour imefanyika pia…