Tanzania yasajili rasmi dawa mpya kudhibiti VVU
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imesajili rasmi dawa ya Lenacapavir kwa ajili ya kudhibiti na kuzuia maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU), hatua inayotajwa kuleta mapinduzi katika tiba na kinga dhidi ya maambukizi hayo nchini. Dawa hiyo ya sindano inayozuia maambukizi ya VVU, yenye uwezo wa kutumika kama mbadala wa ARV’s kwa wenye maambukizi…