Waliohukumiwa kunyongwa kwa mauaji ya bodaboda waachiwa huru

Arusha. Mahakama ya Rufani imebatilisha adhabu ya kunyongwa hadi kufa iliyokuwa imetolewa dhidi ya Hamis Ernest na Renatus Simon, waliokuwa wamepatikana na hatia ya kumuua dereva wa bodaboda, Gervas Genus. Kuachiwa kwao kumetokana na Mahakama ya Rufani kubaini kuwa upande wa mashtaka ulishindwa kuthibitisha shitaka hilo bila kuacha shaka. Uamuzi huo umetolewa Februari 27, 2026…

Read More

ZEC yateketeza nyaraka 720,000 za uchaguzi mkuu wa Oktoba 29

Unguja. Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemalizia kazi ya kuteketeza nyaraka 720,000 za uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025. Kati ya nyaraka hizo 100,000 hazikutumika, zilizotumika Unguja ni nyaraka za kura 461,000 na Pemba kura 159,000. Akizungumza wakati wa kuteketeza nyaraka hizo leo Jumamosi, Februari 28, 2026 katika Shimo la Muungoni Mkoa wa Kusini Unguja,…

Read More

Ulimwengu Mpya wa Ujasiri na Ushindi Upo Ndani Ya Vaso Psycho Ya Meridianbet

Global Publishers February 28, 2026 0 Comments Meridianbet imeendelea kuleta mapinduzi katika burudani ya mtandaoni kwa kuzindua Vaso Psycho, uliotengenezwa na Expanse Studios unaowalenga wachezaji jasiri. Huu ni mchezo unaotoa nafasi ya kuonyesha mbinu, akili na uthubutu wako. Vaso Psycho umeundwa kwa ajili ya wale wanaotafuta ushindi wa kiwango cha juu. Katika kila mzunguko wa…

Read More

Mfugaji wa Kuku Ajishindia Pikipiki Kupitia Bahati Nasibu ya PigaBet

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Mjasiriamali na mfugaji wa kuku kutoka Mapinga, Bagamoyo, Raphael Emmanuel, amejishindia pikipiki kupitia promosheni ya “Shinda Boda” inayoendeshwa na kampuni ya michezo ya kubashiri ya PigaBet. Akizungumza wakati wa makabidhiano ya zawadi hiyo yaliyofanyika katika ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam, Raphael alimshukuru Mungu pamoja na PigaBet…

Read More

Video: Israel Yaishambulia Iran Kwa Makombora Mazito

Bakari Mahundu February 28, 2026 0 Comments Israel imeanzisha mfululizo wa mashambulizi ya makombora dhidi ya Iran mapema leo Jumamosi asubuhi, kufuatia wiki kadhaa za mvutano mkali uliokuwa ukiongezeka kati ya Rais wa Marekani, Donald Trump, na Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah. Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, ametangaza kuwa nchi hiyo ipo katika…

Read More