Dk Mwigulu aonya watumishi kupangisha vizimba wafanyabiashara
Arusha. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, ametoa onyo kwa baadhi ya watumishi wa umma wanaojihusisha na tabia ya kukodisha maduka au vizimba kwa wafanyabiashara kwenye masoko, kinyume na utaratibu. Ameagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha kusimamia sensa ya wafanyabiashara waliokuwa na vizimba katika soko la Kilombero, ili ujenzi utakapokamilika wapewe kipaumbele cha kwanza….