DKT.JAFO HAKUNA KULALA: AENDELEZA KAMPENI YA “KILA MTU ATIBIWE KWAO” KISARAWE

Mbunge wa Jimbo la Kisarawe,Mhe.Dkt. Selemani Jafo, ameendelea kuonesha dhamira yake ya dhati katika kuboresha huduma za afya kupitia kampeni yake ya “Kila Mtu Atibiwe Kwao”, inayolenga kuhakikisha kila kijiji kinakuwa na zahanati ili kusogeza huduma karibu na wananchi. Akiwa katika ziara ya kuwashukuru wananchi wa Kitongoji cha Kola, Jafo amechangia tofali 1,500 kwa ajili…

Read More

TAKUKURU Lindi Yaokoa Zaidi ya Shilingi Milioni 16

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, TAKUKURU Mkoa wa Lindi, imefanikiwa kuokoa zaidi ya shilingi milioni 16 baada ya kubaini na kuziba mianya ya ubadhirifu katika miradi ya maendeleo na usimamizi wa rasilimali katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2025. Kwa Mujibu wa Naibu Mkuu wa Takukuru Mkoani humo  EMMA ACKIM MWASOGYE alipokuwa anazungumza…

Read More

CMSA:SERIKALI IMEPATA MAFANIKIO MAKUBWA MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA

-Katika kipindi cha mwaka 2025 imefikisha Sh.trilioni 4.4 kutoka Sh.trilioni 2.6  Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana(CMSA) imesema Serikali imepata mafanikio makubwa kupitika mifuko ya uwekezaji ya pamoja ambapo katika kipindi cha mwaka 2025 imefikisha Sh. trilioni 4.4 ikilinganishwa na Sh.trilioni 2.6 ya mwaka 2024. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Usimamizi…

Read More

KASI YA MRADI WA EACOP YAPONGEZWA NA WATUMISHI WIZARA YA NISHATI

:::::::::; 📌*Mradi wafikia asilimia 81 huku uchomeleaji wa mabomba ukikamilika kwa asilimia 100* Watumishi kutoka Wizara ya Nishati wamepongeza kasi ya utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) ambao umefikia asilimia 81 huku ukifungua fursa nyingi kwa wananchi ikiwemo upatikanaji wa ajira na ujuzi.. Akizungumza Februari 27, 2026, Chongoleani, Tanga,…

Read More

MKUU WA MKOA KATAVI AAGIZA UTII WA SHERIA ZA TASAC

Na Mwandishi Wetu,Katavi Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, ameagiza wadau wote wa usafiri majini na shughuli zinazohusiana na uendeshaji wa vyombo vya majini mkoani humo kuhakikisha wanatii kikamilifu sheria na taratibu zinazosimamiwa na Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC). Mrindoko ametoa maagizo hayo leo tarehe 27 Februari, 2026, alipokutana na watalaam wa…

Read More

MBUNGE KIJA NTEMI ATOA SADAKA YA TENDE MISIKITI YA KATORO

Mbunge wa Jimbo la Katoro injinia Kija Limbu Ntemi Leo ametoa sadaka ya tende katika misikiti mbalimbali ya Jimbo hilo ikiwa ni sehemu ya kudumisha umoja na amani kama desturi ya Watanzania Injinia kija alisema kuwa ataendelea kusimamia suala la mshikamaano na kuhakikisha Kila mwananchi ana uhuru wa kuabudu kwa Imani yake. Katika hatua nyingine…

Read More

Benki ya Absa kuendelea kushiriki mikakati ya kuboresha ustawi na maendeleo endelevu ya watoto, familia na jamii nchini

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Obedi Laiser (kushoto), akishikana mikono na Mkurugenzi wa Shirika la World Vision Tanzania, Bw. James Anditi, wakati wa uzinduzi rasmi wa Mkakati wa miaka mitano wa Jubilei (2026–2030) wa shirika hilo jijini Dar es Salaam jana, unaolenga kuboresha ustawi na maendeleo endelevu ya watoto, familia na jamii nchini….

Read More