Yanga, Simba zashindwa kutambiana Zanzibar

Ni sahihi kusema hakuna unyonge! Simba imemaliza uteja wa kupoteza michezo mitano dhidi ya Yanga baada ya kulazimisha suluhu kwenye mchezo mkali wa Dabi ya Kariakoo uliopigwa kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar. Huu ulikuwa mchezo wa kwanza Simba wanaitawala Yanga kwa dakika nyingi katika michezo ya hivi karibuni, huku ikiwatumia wachezaji wake wapya, Libase Gueye,…

Read More

Ambulance lagongana na Lori, mgonjwa afariki

Na Mashaka Mhando, Tanga JESHI la Polisi Mkoa wa Tanga linafanya uchunguzi wa ajali mbaya ya barabarani iliyosababisha kifo cha mgonjwa mmoja na kujeruhi watu wengine wanne, baada ya gari la wagonjwa (Ambulance) kugongana uso kwa uso na lori la mizigo. Tukio hilo limetokea leo Machi 1, 2026, majira ya saa 6:10 usiku katika eneo…

Read More

Rais Mwinyi ahimiza amani na mshikamano nchini

Dar es Salaam. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi, amewataka Watanzania kudumisha amani, utulivu na mshikamano katika taifa, kwani bila amani hakuna mafanikio yanayoweza kufikiwa. Rais Mwinyi amesema hayo leo Machi mosi, 2026, katika mashindano ya kimataifa ya Quran yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam, yaliyoandaliwa na Taasisi ya Al-Hikma, yakikutanisha washiriki 26 kutoka mataifa…

Read More

JK AKABIDHI TUZO KWA VIONGOZI BORA BARANI AFRIKA

RAIS  Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekabidhi Tuzo za Viongozi Bora barani Afrika kwa Mwaka 2026 katika Hafla iliyofanyika Accra, Ghana tarehe 28 Februari 2026. Tuzo hizo zinatolewa na Jarida la Africa Leadership Magazine linaloandaliwa na Taasisi ya Uongozi Afrika (Africa Leadership Organisation) ambayo Rais Mstaafu Dkt. Kikwete ni Mwenyekiti wa Bodi yake ya Ushauri….

Read More

PAWA Kuzindua Kitabu Kipya Kinachomuenzi Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

CHAMA cha Waandishi wa Afrika (Pan African Writers Association – PAWA) kinatarajia kuzindua kitabu kipya kinachomuenzi aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, wakati wa Maonesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Conakry yatakayofanyika Aprili 2026 nchini Guinea Conakry. Chapisho hilo linaadhimisha maisha na uongozi wa Magufuli kufuatia kifo chake tarehe 17 Machi 2021,…

Read More