BONDIA NAMBA MOJA TANZANIA IBRAHIM CLASS AIANDIKIA BARUA WBC KUPINGA DHULUMA ALIYOFANYIWA THAILAND
:::::: Bondia namba moja kutoka Tanzania katika uzani wa ‘Super feather’, Ibrahim Class amepinga matokeo ya pambano lake alilocheza jana Februari 28 mwaka huu nchini Thailand. Ibrahim Class alipigana na Mthailand Kritiphak Duangnut katika pambano la raundi 10 la kuwania mkanda wa WBC silver International ambapo majaji walitangaza matokeo ya sare. Baada ya matokeo…