Global Publishers
March 4, 2026
0 Comments
The Amazon College inatafuta walimu wenye sifa na uzoefu kujiunga na taasisi yao katika fani zifuatazo:
-
Mwalimu wa Ususi na Urembo (Hairdressing & Make Up)
-
Walimu wa Hotel Management katika fani zifuatazo:
Vigezo: Mwombaji awe na taaluma husika na uzoefu wa kufundisha au kufanya kazi katika sekta ya hoteli.
📍 Jinsi ya Kutuma Maombi:
Wasiliana kupitia 📞 0715 170154 au fika Ofisi za The Amazon College.
Kauli ya taasisi: “The Amazon College – Ni Kisima cha Mafanikio 🎓✨”