Waziri Mkuu Aweka Jiwe La Msingi Mradi Wa Barabara Ya Kagwira – Karema
Global Publishers March 14, 2026 0 Comments WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya Kagwira – Karema (kilometa 112) katika Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi. Mradi huo unatekelezwa na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kwa gharama ya takribani shilingi bilioni 219.09, ukiwa na lengo…