MPANDA- KIGOMA KUUNGANISHWA KWA LAMI
****** Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imedhamiria kuufungua mkoa wa Katavi kwa barabara za lami ili kuchochea uchumi wa mikoa ya kanda ya magharibi. Akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Mlele mkoani Katavi Dkt. Nchemba amesema nia ni kurahisisha huduma za usafiri na uchukuzi ili kukuza uchumi wa wananchi katika mwambao wa ziwa…