Simba yapanda nafasi ya pili ikiichapa TRA United

Klabu ya Simba imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambapo timu hiyo sasa imesogea hadi nafasi ya pili katika msimamo wa ligi ikifikisha pointi 31 ikiishusha Azam FC ambayo ina pointi 29 katika nafasi ya tatu. Katika mchezo huo uliopigwa kwenye Dimba la Major General Isamuhyo, Mbweni, Dar es…

Read More

SERIKALI INABORESHA MIUNDOMBINU ILI MTOTO WA KITANZANIA APATE HAKI YAKE YA MSINGI YA ELIMU BORA – PROF. SHEMDOE

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI inaendelea kusimamia uboreshwaji wa miundombinu ya elimu nchini, ili kuhakikisha kila mtoto wa Kitanzania anapata haki yake ya msingi ya elimu bora katika mazingira mazuri na rafiki ya ujifunzaji na ufundishwaji.  Prof. Shemdoe amesema,…

Read More

Timu kutathmini majengo ya Serikali yasiyotumika Dar

Dar es Salaam. Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Dk Jim Yonazi, amesema timu maalumu ya kutathmini majengo ya Serikali yasiyotumika jijini Dar es Salaam inaendelea na kazi hiyo. Timu hiyo iliundwa kufuatia maelekezo ya Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, aliyoyatoa Januari 22, 2026, alipotembelea mji wa Serikali, Mtumba…

Read More

Maji ni Uhai: TRAMEPRO Yaadhimisha Siku ya Maji Duniani 2026

Kila mwaka tarehe 22 Machi, dunia huungana kuadhimisha Siku ya Maji Duniani—siku muhimu inayotukumbusha thamani ya rasilimali maji katika maisha ya kila siku. Mwaka huu wa 2026, maadhimisho haya nchini Tanzania yanafanyika katika Mkoa wa Morogoro, yakileta pamoja wadau wa sekta ya maji, afya na mazingira. Katika kuadhimisha siku hii, Shirika la Dawa Asilia na…

Read More

M/kiti CCM aonya maneno matamu kwenye shida ya maji

Dar es Salaam. Katika kuadhimisha Siku ya Maji Duniani, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Joseph Masunga amewataka wasimamizi wa sekta ya maji kupunguza maneno mengi na michakato mirefu isiyo na majibu ya haraka kwa kero za maji zinazowakabili wananchi. Amesema wakati mwingine viongozi wanaosimamia sekta ya maji hutoa maelezo yanayoweza kuwaburudisha…

Read More

Dk Nchimbi aitaka wizara ya maji kushirikiana na sekta binafsi kutatua changamoto ya maji

Morogoro. Makamu wa Rais Balozi, Dk Emmanuel Nchimbi ameitaka menejimenti ya Wizara ya Maji kujenga ushirikiano na sekta binafsi ili kushughulikia changamoto za upatikanaji na upotevu wa maji, ili dhamira ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kumtua “mama ndoo kichwani” iweze kutekelezeka. Dk Nchimbi ameyasema hayo leo wakati akifunga kilele cha maadhimisho ya Wiki ya…

Read More