Baba mdogo, mjumbe waibua mapya mauaji ya Linah
Dar es Salaam. Wakati mjumbe wa shina namba sita wa Tawi la Mkwajuni Kata ya Vijibweni, Kigamboni, Aloyce Msiagi akieleza namna mtuhumiwa wa mauaji ya Linah Kabamba alivyomburuza dada yake kutoka koridoni alikofanyia mauaji hadi chumbani, baba mdogo wa marehemu amesema marehemu alimchukua mdogo wake huyo na kuishi naye akimfundisha kazi. Linah ambaye ni mama…