Singida alenga ushindi dhidi Mbeya City

BAADA ya kudondosha pointi sita katika mechi mbili Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga na Simba, kocha wa Singida Black Stars, David Ouma amewataka wachezaji wake kusahau matokeo hayo na kuelekeza nguvu katika mchezo dhidi ya Mbeya City. Ouma alisema licha ya kupoteza michezo hiyo migumu anaamini kikosi chake kilionyesha kiwango kizuri na kilistahili kupata…

Read More

TANZANIA YAJINADI UIMARISHAJI USAWA WA KIJINSIA NA UPATIKANAJI WA HAKI KWA WANAWAKE MKUTANO WA CSW 70.

Na WMJJWM New York Marekani Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza mshikamano wake na nchi wanachama wa jumuiya ya kimataifa katika kuendeleza ajenda ya usawa wa kijinsia duniani. Akizungumza katika mkutano wa 70 wa kimataifa kuhusu masuala ya wanawake na haki, mwakilishi wa Tanzania katika Mkutano huo Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,…

Read More

Mahakama Kuu Yaamuru Kufungwa kwa Sahara Media Group Limited

Mahakama Kuu Kitengo cha Biashara imeamuru kufungwa kwa kampuni ya Sahara Media Group Limited, iliyojishughulisha na vyombo vya habari, matangazo na huduma za uchapishaji, kutokana na hali mbaya ya kifedha. Uamuzi huo umetolewa na Jaji Dk. Mwajuma Kadilu baada ya kuridhia ombi la kufilisi lililowasilishwa na kampuni yenyewe. Ombi hilo liliungwa mkono na kiapo cha…

Read More

WANANCHI WANA MATUMAINI MAKUBWA NA SERIKALI KUPITIA REA–MHANDISI SAIDY

Na Maandishi Wetu  MKURUGENZI  Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi, Hassan Saidy amesema Wananchi hususan wanaoishi vijijini wana matumaini na Serikali kupitia REA katika kuwaboreshea hali ya maisha na amewataka Watumishi wa Wakala kuhakikisha wanafanya kazi kwa bidii, uadilifu na maarifa ili kutimiza malengo ya Serikali kuhudumia wananchi wake. Ametoa rai hiyo Machi…

Read More

Makubaliano Musongati yafungua ukurasa mpya uchimbaji Nikeli Afrika Mashariki

Dar es Salaam. Kampuni ya Lifezone Metals inayomiliki Tembo Nickel, imesaini makubaliano ya miezi 14 na Serikali ya Burundi kuhusu maendeleo ya mgodi wa Nikeli wa Musongati. Hatua hiyo inatajwa kuwa inaenda kuimarisha ushirikiano wa kikanda katika sekta ya madini na miundombinu. Akizungumza kuhusu makubaliano hayo yaliyosainiwa Machi 10, 2026, Mkurugenzi Mtendaji wa Tembo Nickel,…

Read More

Stanbic Yaandaa Futari Kuimarisha Mahusiano na Wadau

Benki ya Stanbic imeandaa futari maalum iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana, ikiwa ni sehemu ya kushiriki baraka za mwezi mtukufu wa Ramadan pamoja na kuimarisha mahusiano na wadau wake. Tukio hilo liliwakutanisha viongozi wa dini, viongozi wa benki pamoja na wateja katika mazingira ya mshikamano na tafakari ya maadili ya kijamii yanayohimizwa katika kipindi…

Read More