PROMOSHENI YA “SHINDA BODA” YAMPA PIKIPIKI MKAZI WA DAR, ASEMA NI FURSA YA AJIRA KWA VIJANA
Na Mwandishi Wetu Ndoto ya kujikwamua kiuchumi kwa vijana wengi imepata mwanga mpya baada ya mkazi wa Dar es Salaam, Jerome Mushi, kujishindia pikipiki aina ya TVS kupitia promosheni ya “Shinda Boda” inayoendeshwa na kampuni ya michezo ya kubahatisha ya PigaBet Tanzania. Mushi alisema ushindi huo ni fursa muhimu kwake na kwa kijana mwenzake kwani…