Kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia yawa mwarobaini Zanzibar
Unguja. Wananchi 422,908 wamenufaika na kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia, inayojulikana kama Samila Legal Aids, wakiwemo wanawake 209,185 na wanaume 213,723. Pia, kupitia kampeni hiyo, migogoro 749 imepokelewa ikiwemo ya ardhi, mirathi, ndoa, ajira, udhalilishaji, ukatili wa kijinsia na matunzo ya watoto, huku migogoro 259 ikitatuliwa papo kwa hapo. Kauli hiyo imetolewa…