Mvua ilivyoua watano, kukata mawasiliano

Mikoani. Mvua zinazoendelea kunyesha katika baadhi ya mikoa nchini, zimesababisha vifo vya watu watano, uharibifu wa miundombinu ya majengo, barabara pamoja na kuathiri mazao. Pia, zimesababisha upotevu wa muda kwa wananchi, wanafunzi kukosa masomo na kupanda kwa gharama za usafiri katika maeneo mbalimbali yanayoendelea kukumbwa na mvua hizo. Mkoani Dodoma, mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia…

Read More

Rea yakaribisha sekta binafsi kuwekeza miradi ya umeme vijijini

Njombe. Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini (Rea) umewaalika wadau wa sekta binafsi kutumia fursa zilizopo katika maeneo mbalimbali nchini kuwekeza katika miradi ya uzalishaji wa umeme vijijini. Wakala huo umeeleza kuwa kuna fursa nyingi hasa katika mikoa ya Njombe, Ruvuma na Iringa ambako kuna vyanzo vingi vya maji vinavyoweza kutumika kuzalisha umeme hatua itakayosaidia…

Read More

Kipa Mlandege aja na mawili ZPL

KIPA wa Mlandege ambayo ni bingwa mtetezi wa Ligi Kuu Zanzibar, Hamad Ubwa ‘Baro’ amesema ana kibarua cha kutetea ubingwa na timu hiyo na kuwa kipa bora wa msimu. Pia, Baro amesema ana mkakati wa kuhakikisha anakuwa kipa bora kwenye msimu huu wa 2025-2026. Matumaini ya Mlandege kutetea ubingwa huo yapo katika mechi 10 zilizobaki…

Read More

Wanaojifungua wahimizwa kutumia kikamilifu likizo ya siku 90

Dar es Salaam. Wanaojifungua  nchini wamehimizwa kutumia kikamilifu muda wa mapumziko wa miezi mitatu baada ya kujifungua ili waweze kuwa karibu na watoto wao katika kipindi muhimu cha mwanzo wa maisha. Wito huo umetolewa wakati kukibainika baadhi ya wanawake, hasa walioajiriwa katika sekta binafsi na wanaojiajiri, wamekuwa wakirudi katika shughuli zao za kazi mapema kabla…

Read More

SMZ kukuza vituo vya michezo Zanzibar 

SERIKALI imesema itakiunga mkono kituo cha Olympafrica Zanzibar kilichopo visiwani hapa kwa kukifanyia maboresho ya miundombinu kwani kinakuza vipaja vya michezo kwa watoto. Hayo yameelezwa na Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais Ikulu, Ufuatiliaji na Usimamizi wa Utendaji wa Serikali, Profesa Mohammed Hafidh Khalfan alipotembelea kituo hicho kilichopo Dole, Wilaya ya Magharibi A, Unguja. Profesa…

Read More

Rais Samia ateta na mwakilishi UN

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania imejizatiti kuhakikisha mchakato wa kufuatilia matukio ya maandamano yaliyozaa vurugu Oktoba 29, 2025 unafanyika kwa kuzingatia utawala wa sheria, uwajibikaji na haki. Amesisitiza hayo yanafanyika huku nchi ikiendelea kulinda amani, umoja wa kitaifa na utulivu wa kisiasa ambao umekuwa msingi wa wakati wote wa maendeleo ya…

Read More