Chunya yaweka mikakati kuongeza uzalishaji wa ufuta
Chunya. Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, imeweka mikakati madhubuti ya kuongeza uzalishaji wa zao la ufuta kutoka kilo milioni 2.4 zilizozalishwa msimu uliopita hadi kufikia kilo milioni 6, katika msimu wa kilimo wa 2026/2027. Hatua hiyo imechochewa na uamuzi wa halmashauri kugawa tani 6,000 za mbegu bora za ufuta kwa wakulima kupitia Chama…