Trump Aahirisha Mashambulizi Iran Kwa Siku Tano, Atoa Nafasi Ya Mazungumzo – Video
Global Publishers March 23, 2026 0 Comments Rais wa Marekani, Donald Trump leo Machi 23, 2026 ametangaza kuahirisha mashambulizi yaliyokuwa yamepangwa kufanywa dhidi ya mitambo ya umeme na miundombinu ya nishati nchini Iran kwa kipindi cha siku tano. Kupitia taarifa yake rasmi, Trump amesema uamuzi huo umefikiwa kufuatia mazungumzo yaliyodumu kwa siku mbili kati ya…