TGNP YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, YAHIMIZA USAWA WA KIJINSIA KUFIKIA DIRA 2050
TGNP YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, YAHIMIZA USAWA WA KIJINSIA KUFIKIA DIRA 2050 Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) umeadhimisha Siku ya Wanawake Duniani 2026 kwa kufanya kongamano maalum lililofanyika tarehe 11 Machi 2026 katika Viwanja vya TGNP, Mabibo jijini Dar es Salaam, likilenga kuhamasisha haki na usawa kwa wanawake na wasichana kama msingi wa…