Trump Aamuru Iran Iondoe Mabomu Hormuz, Marekani Yashambulia Boti 16
Jeshi la Marekani limefanya mashambulizi ya anga dhidi ya boti za kijeshi za Iran zilizokuwa zikidaiwa kuweka mabomu ya majini katika Mlango wa Bahari wa Hormuz, hatua iliyokuja baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kuionya Tehran kuondoa mabomu hayo mara moja. Katika video iliyotolewa na U.S. Central Command (CENTCOM) kwenye mtandao wa X, ndege…