Rais wa zamani wa Ufilipino akabidhiwa ICC

Ndege iliyokuwa inambeba Duterte iliondoka Manila Jumanne jioni. Alikamatwa baada ya kuwasili na familia yake kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Manila Jumanne asubuhi akitokea Hong Kong, chini ya hati ya kumkamata ya ICC. Mahakama hiyo ya kimataifa iliamuru akamatwe baada ya kumshtumu kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu kutokana na sera yake mbaya ya…

Read More

UN yasema hali ya usalama Haiti inazidi kuwa hatari

Taifa hilo na limendelea kushuhudia ghasia za magenge, na Umoja wa Mataifa unakisia kwamba tayari magenge yamechukua mamlaka wa asilimia 85 ya mji mkuu wa Port-au-Prince. O’Neil alisema kuwa inazidi kuzorota zaidi kila anapotembelea taifa hilo. Alisema kwamba kutojali na ufisadi ni vizingiti kuvunja magenge hayo. Aliongeza serikali ya Haiti ni lazima iweke kipaumbele cha…

Read More

Tanzania yatangaza kumalizika kwa mlipuko wa Marburg

Ugonjwa huo ulioripotiwa kwa mara ya kwanza tarehe 20 Januari 2025 katika Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera ambapo watu wawili kutoka mkoani humo walithibitika kuwa na maisha na kupoteza maisha wakipatiwa matibabu. Katika ripoti ya ripoti na Waziri wa Afya Jenista Mhagama imeeleza kuwa mgonjwa wa kwanza aliripotiwa tarehe 28 mwezi Machi 2025 siku 42…

Read More