Mgongano wa wazi ndani ya Washington; kuanzia tuhuma hadi uthibitisho kwamba mpango wa nyuklia wa Iran ni wa amani
Rais wa Marekani Donald Trump amekoleza maradufu moto wa kampeni yake ya kueneza sumu dhidi ya Iran kwa kurudia tena tuhuma hewa za kila mara kuhusu mpango wa nyuklia wa Tehran. Kwa mujibu wa Pars Today, Trump amerudia tena madai na kauli zake zinazokinzana, akidai kwamba ‘Iran inataka zaidi makubaliano kuliko mimi’. Katika mkutano na…