NDEJEMBI ATAKA EWURA KUKAGUA MAGHALA YA MAFUTA KUHAKIKISHA HAKUNA MAFUTA YANAYOFICHWA
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kuhakikisha kuwa, hakuna mfanyabiashara anayeficha mafuta kwa kisingizio cha kusubiri bei za mafuta zipande kutokana na mgogoro unaoendelea katika eneo la Mashariki ya Kati ambao umepelekea baadhi ya nchi kukumbana na changamoto za upatikanaji wa mafuta. Akizungumza jijini…