Taasisi ya Nelson Mandela yaingia makubaliano ya ushirikiano na Global Education Link
Arusha. Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) imesaini hati ya makubalino (MoU) na taasisi binafsi ya Global Education Link Ltd yenye malengo la kushirikiana kwenye nyanja za kitaaluma, uwekezaji na teknolojia. Hati hizo za makubaliano zimesainiwa leo Jumanne, Machi 10, 2026 katika taasisi hiyo na Makamu Mkuu wa NM-AIST, Profesa…