Kiongozi wa Usalama Iran Amjibu Trump ‘Awe Makini Asije Akaondolewa’
Mkuu wa usalama wa Iran, Ali Larijani Mvutano kati ya Iran na Marekani umeongezeka baada ya viongozi wa Iran kutoa onyo kali kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, wakimtaka kuwa makini kufuatia kauli zake dhidi ya uongozi mpya wa nchi hiyo. Onyo hilo lilitolewa na Mkuu wa usalama wa Iran, Ali Larijani, ambaye alijibu matamshi…