Viongozi wa Ulaya Walalamikia Vita vya Marekani na Israel Dhidi ya Iran
Global Publishers March 10, 2026 0 Comments Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Yvette Cooper Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Yvette Cooper amesema kuwa London haitajiunga katika vita vya Marekani na utawala wa wa Israel dhidi ya Iran. Cooper amesisitiza kwamba London inajiepusha kuingia katika mzozo wa Magharibi mwa Asia. Amesema: “Tumepata…