Shule ya Brookside Academy ya Kimara Suka yawataka wazazi kupeleka watoto shuleni hapo
Shule ya Brookside Academy ya Jijini Dar es Salaam imewataka wazazi kupeleka watoto shuleni hapo ili wapate elimu bora , shule hiyo ni ya Mtaala wa Kiingereza. Akizungumza hivi karibuni wakati wa maonyesho ya Shule hiyo Mlimani City Jijini Dare es Salaam, Mwalimu Gloria Hamis alisema kuwa mbali na elimu bora pia shule hilo inafundisha…