DKT AKWILAPO AKABIDHI VIFAA TIBA KUIMARISHA HUDUMA ZA AFYA MASASI
Na Munir Shemweta, Masasi Mbunge wa Jimbo la Masasi na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amekabidhi vifaa tiba katika Kituo cha Afya Mbonde kilichopo Halmashauri ya Mji Masasi mkoani Mtwara kwa lengo la kuimarisha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi. Dkt. Akwilapo amekabidhi vifaa hivyo leo, Machi…