Aliyechezesha Dabi ya Kariakoo apewa Kombe la Dunia 2026

Mwamuzi Amin Mohamed Amin Omar wa Misri, aliyewahi kuchezesha mechi ya ‘Kariakoo Derby’ kati ya Yanga dhidi ya Simba iliyopigwa, Juni 25, 2025, amechaguliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), kuchezesha fainali za Kombe la Dunia. Katika fainali hizo za Kombe la Dunia zitakazopigwa nchi tatu za Marekani, Canada na Mexico kuanzia Juni 11,…

Read More

Simba Queens yarudi kambini kujiandaa mzunguko wa pili WPL

SIMBA Queens imeingia kambini mapema kuanza maandalizi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Wanawake nchini, huku benchi la ufundi likieleza lengo kubwa ni kuhakikisha timu hiyo inafanya vizuri katika mechi zilizosalia. Kocha msaidizi wa timu hiyo, Mussa Hassan Mgosi alisema kufanya maandalizi ya mapema ni muhimu kwa kikosi hicho ili kurejea uwanjani kikiwa…

Read More

Chabruma: Mabinti msikate tamaa kupambania ndoto zenu

ALIYEWAHI kuwa kocha mkuu wa JKT Queens, Esta Chabruma amewaasa mabinti wanaocheza soka kuendelea kupambania ndoto zao bila kukata tamaa licha ya changamoto wanazokutana nazo njiani. Akizungumza na Mwanaspoti kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Chabruma alisema wanawake wengi wenye vipaji hukata tamaa mapema kutokana na vikwazo wanavyokutana navyo akasisitiza mafanikio yanahitaji uvumilivu na…

Read More

Ceasiaa yapania pointi 18 nyumbani

KOCHA wa Ceasiaa Queens, Ezekiel Chobanka amesema mipango ya timu hiyo ni kuvuna pointi 18 katika mechi sita za nyumbani zilizosalia ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kumaliza nne bora. Ceasiaa iko nafasi ya 10 kwenye msimamo wa ligi ikikusanya pointi nane kwenye mechi 11 ilizocheza, ushindi mara mbili, sare saba na kupoteza mbili. Akizungumza…

Read More

CCM yataka Kituo cha Afya Mwamapalala kianze huduma Juni

Itilima. Wakati Katibu Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenan Kihongosi akitaka Kituo cha Afya Mwamapalala kuanza kutoa huduma Juni mwaka huu, wananchi wameeleza namna kitakavyowapunguzia adha ya kutembea umbali wa zaidi ya kilomita 30 kufuata huduma za afya. Wamesema kukamilika kwake itakuwa ni mkombozi kwa wagonjwa hasa wajawazito na wazee ambao…

Read More

Wanawake FCC watakiwa kujenga Mshikamano na Umoja

Na Mwandishi Wetu Wanawake wa Tume ya Ushindani (FCC ) wametakiwa kuwa na  upendo ambao utajenga mshikamano na kuleta ufanisi katika Taasisi. Hayo ameyasema Mwakilishi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa FCC, Bi. Magdarena Utouh katika  Maadhimisho  ya Siku ya  Wanawake Duniani ambayo hufanyika kila Machi 8 ya kila mwaka. Magdelena amesema maadhimisho ya Siku ya…

Read More

Mbunge aeleza chanzo cha ajali yake msafara wa PM

Moshi. Mbunge wa Moshi Mjini (CCM), Ibrahim Shayo amesema ajali aliyopata Februari 18, 2026 haikuhusisha mkono wa mtu kama ambavyo baadhi ya watu wamekuwa wakidai. Shayo amesema chanzo cha ajali hiyo ni kupasuka kwa tairi la mbele la gari walilokuwa wakisafiria, hali iliyosababisha dereva kushindwa kulimudu kutokana na gari hilo kuwa katika mwendo mkali. Ameyasema…

Read More