Sichone aanza kufunga UAE | Mwanaspoti

WINGA Mbongo Morice Sichone anayeitumikia Gulf FC inayoshiriki Ligi Daraja la Pili ya Falme za Kiarabu ameanza vizuri akifunga mabao mawili licha ya hali ya taharuki inayosababishwa na machafuko ya vita yanayoendelea katika baadhi ya maeneo ya Mashariki ya Kati. Nyota huyo alijiunga na Gulf akitokea Trident FC ya Zambia alipocheza mechi 18 akifunga mabao…

Read More

Twiga Stars kurejea leo | Mwanaspoti

KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Twiga Stars, kinarejea leo kutokea Falme za Kiarabu kilipokita kambi kwa ajili ya kujiandaa na Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026. Twiga Stars ilikuwa UAE ikishiriki mashindano ya kujipima nguvu ya Pink Ladies Cup ambayo yalikuwa ni maandalizi ya WAFCON 2026 yaliyotarajiwa kuanza…

Read More

Said anaandika rekodi zake Malaysia

MSHAMBULIAJI Said Hamis Said Jr anayekipiga Imigresen, anaendelea kuonyesha makali yake katika Ligi Kuu ya Malaysia baada ya kuwa miongoni mwa wachezaji wanaoibeba timu hiyo. Said Jr amekuwa na msimu bora na tayari amecheza mechi 21 za ligi akifunga mabao 16 na kutoa asisti nne, takwimu zinazoonyesha mchango wake mkubwa katika kikosi hicho. Mabao hayo…

Read More

Mwalimu Lihepanyama, mkemia anayekuza sayansi Sekondari Pugu

Dar es Salaam. Katika mazingira ya kihistoria ya Shule ya Sekondari Pugu Boys, jina la Mwalimu Venancia Lihepanyama (57) limeendelea kutajwa kama sehemu ya hadithi ya mafanikio ya mamia ya wanafunzi waliopitia mikononi mwake katika masomo ya sayansi. Wengi wa wanafunzi hao leo ni madaktari, watafiti, wahandisi, walimu na wataalamu wa kada mbalimbali waliopata msingi…

Read More

Gates of Halloween Na Safari ya Ushindi Inayoendelea Meridianbet

Meridianbet imezidi kuonesha ubunifu wake kupitia mchezo wa kasino unaovutia, Gates of Halloween. Mchezo huu umeleta mandhari ya Halloween, ukichanganya ubunifu wa picha, mwendo wa kasi na hali ya kusisimua inayomweka mchezaji katikati ya tukio la kipekee. Kila mzunguko huibua matarajio mapya, ukiwapa wapenzi wa kasino sababu ya kuendelea kubofya na kufurahia safari yao. Ubunifu…

Read More

ZFDA yateketeza kilo 2,447 za nyama zilizoharibika

Unguja. Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) umeteketeza kilo 2,447 za nyama mchanganyiko baada ya kubainika kuwa hazifai kwa matumizi ya binadamu. Akizungumza baada ya kuteketeza nyama hizo leo Jumapili Machi 8, 2026 katika jaa kuu la Serikali Kibele, Daktari wa Mifugo wa ZFDA, Thamra Khamis Salum amesema bidhaa hizo ziliingizwa nchini na Kampuni…

Read More