Video: Polisi Wakamata Mgambo Watatu kwa Mauaji ya Kijana Bugando
Global Publishers March 23, 2026 0 Comments Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewakamata askari mgambo watatu kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya kijana Rashid Masunga Nyandonga (31), mkazi wa Bugando wilayani Nyamagana. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Machi 22, 2026, tukio hilo lilitokea Machi 20, 2026…