Video: Rais Samia Amzawadia Gari Mama Kanumba
Bakari Mahundu March 8, 2026 0 Comments Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemzawadia gari aina ya Toyota Harrier mama wa marehemu Steven Kanumba, kama ishara ya kutambua mchango mkubwa wa mwanaye katika kukuza tasnia ya filamu nchini. Gari hilo limekabidhiwa kwa niaba ya Rais na Mkuu wa Mkoa wa Dar…