WAZIRI ULEGA AWATAKA WANANCHI KUILINDA NCHI YAO

Na Mwandishi Wetu  Mbunge wa Jimbo la Mkuranga na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewataka wananchi wa Wilaya ya Mkuranga kuendelea kuilinda na kuitunza amani ya nchi.Ulega ameyasema hayo wakati wa futari iliyoandaliwa  kwa wananchi  wa Mkuranga pamoja na Watoto Yatima wa Wilaya hiyo ,amesema   mbezi mtukufu wa Ramadhan unatengeneza upendo na mshikamano wa taifa kwa…

Read More

Serikali yatoa Sh704 milioni kufunga transfoma Lindi

Mtwara. Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema Serikali imewekeza Sh704 milioni za kufunga transfoma ya ziada katika Kituo cha Kupooza Umeme cha Mahumbika mkoani Lindi ili kupunguza changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara Lindi na Mtwara. Aidha, waziri huyo amempa siku 14 mkandarasi anayetekeleza mradi wa kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti 220…

Read More

Polisi yawatawanya Bawacha kwa mabomu ya machozi Musoma

Musoma. Polisi Mkoa wa Mara wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi na wanachama wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), waliokuwa wanajaribu kukusanyika kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. Awali, Bawacha walipanga kufanya maadhimisho hayo kitaifa mjini Musoma leo Jumapili, Machi 8, 2026 kabla ya Jeshi la…

Read More

Msisimko wa Gates of Halloween Hauishi Meridianbet

NDANI ya ulimwengu wa burudani za mtandaoni, Meridianbet inaendelea kuleta uzoefu unaovuka mipaka ya kawaida kupitia mchezo wake wa kasino, Gates of Halloween. Mchezo huu umebeba mandhari ya Halloween kwa ubunifu wa kisasa, ukitoa hali ya kusisimua inayoweka mchezaji katikati ya hadithi ya kipekee. Kila mzunguko unajengwa kama tukio jipya, ukichanganya matarajio na burudani katika…

Read More

Meridianbet Yaboresha huduma Kwa Kumjumuisha Slotopia

SOKO la burudani ya kasino mtandaoni linazidi kujingezea nguvu baada ya Meridianbet kuiongeza Slotopia, mtoa huduma anayelenga kuwapa wachezaji bonasi na zawadi mara kwa mara. Kupitia Slotopia, Meridianbet inaleta uzoefu wa kipekee ambapo kila mzunguko si burudani tu, bali ni fursa halisi ya kuongeza ushindi kwani imeundwa kuhakikisha kila mchezaji anapata nafasi ya kushinda kwa…

Read More

Kila Mechi ni Nafasi ya Wewe Kukupatia Ushindi

USHINDI Mnono unakusubiri leo ndani ya Meridianbet kwani hapa unapata, Odds kubwa, Machaguo zaidi ya 1000 na mengine mengi. Ili kubashiri sasa ingia kwenye akaunti yako na ubashiri leo. LALIGA kule Hispania kuna mechi zinazoendelea Villarreal atamenyana dhidi ya Elche ambao wanashika nafasi ya 17 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 4 hadi sasa kwenye…

Read More