Wataalamu walaani kuwanyima watoto haki za msingi
Tanga. Wataalamu wa malezi na makuzi ya watoto mkoani Tanga wametahadharisha kuwa kuwanyima watoto haki zao za msingi za kucheza, kupumzika na kukua katika mazingira salama na yenye afya kunahatarisha maendeleo yao ya kimwili na kiakili. Wataalamu hao wanasema vitendo hivyo vinaweza kuathiri si tu ukuaji wa kimwili wa watoto, bali pia maendeleo yao ya…