ONGEA NA AUNT BETTIE: Anapenda sana ‘mchezo’ nahisi kuishiwa nguvu
Anti siyo kama ninajihami ila naona kabisa ubavu wangu ni mdogo kumtosheleza huyu nimpendaye. Kwanza kila akikaa anasema anapenda mwanaume mwenye maumbile makubwa, nikitazama yangu nakataa tamaa kabisa. Pia anapenda sana mambo hayo, nisipojizungusha kutwa moja anaweza kuhitaji hiyo huduma zaidi ya mara tano. Mwanzoni nilijua ni ugeni, lakini tuna mwaka sasa kazi ni hiyo…