Marietha anavyojitegemea kupitia kazi ya bodaboda

Dar es Salaam. Akiwa amekulia katika mazingira ya kawaida ya kifamilia mkoani Manyara, alilazimika kuagana na nyumbani kwao, ndugu na marafiki, akibeba matumaini moyoni, akiamini kuwa jiji kubwa la Dar es Salaam lingeweza kufungua ukurasa mpya wa maisha yake. Hakukuwa na uhakika wa kazi wala ndugu wa karibu wa kumtegemea, kilichomsukuma ni shauku ya kujitegemea…

Read More

Safari ya milima na mabonde ya wanawake Tanzania

Dar es Salaam. Zaidi ya nusu karne tangu kuanzishwa kwa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Tanzania imepiga hatua kadhaa katika kuinua nafasi ya wanawake katika nyanja mbalimbali za kijamii na kiuchumi. Hata hivyo, pamoja na mafanikio hayo, changamoto kama mfumo dume, ukosefu wa fursa sawa na vitendo vya ukatili wa kijinsia bado vinaendelea kuwa…

Read More

Amekutumia Halafu Anakuacha? Usiumie, Fanya Haya!

MUNGU ni mwema sana. Tunakutana katika eneo letu la kuweza kupeana darasa la masuala ya uhusiano. Tunajifunza, tunatafakari kwa pamoja kuhusu maisha yetu. Hakuna aliye mkamilifu, kila mtu anajifunza kila siku. Unaweza kujiona unajua mambo lakini kumbe kuna mwenzako anajua zaidi. Uungwana ni kujenga desturi ya kujifunza. Suala la msingi ni kuiruhusu akili yako iweze…

Read More

WANAWAKE TTCL WAWASAIDIA WATOTO WAGONJWA WA MOYO JKCI

Baadhi ya Wanawake wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wakiwa na Daktari Bingwa Mbobezi wa Magonjwa ya Moyo kwa Watoto – JKCI, Dk. Naizihijwa Majani (katikati) akipokea msaada huo kwa niaba ya Mkurugenzi wa Kituo hicho. Baadhi ya Wanawake wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wakiwa na Daktari Bingwa Mbobezi wa Magonjwa ya Moyo kwa Watoto –…

Read More