TRA YATOA VIFAA TIBA VYA SHILINGI MILIONI 40 DAR ES SALAAM
:::::::: Uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam umepokea msaada wa vifaa tiba na viti mwendo vyenye thamani ya shilingi milioni 40 kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa ajili ya kusaidia wagonjwa katika hospitali mbalimbali za mkoa huo. Msaada huo ulipokelewa Februari 7, 2026 jijini Dar es Salaam na Mkuu wa Wilaya ya Ilala,…