Mtanzania ateuliwa katibu mkuu mpya wa EAC

Arusha. Mtanzania Balozi Stephen Mbundi ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) akichukua Katibu Mkuu wa EAC, Veronica Nduva. Balozi Mbundi ametangazwa leo Jumamosi, Machi 7, 2026 katika Mkutano wa kawaida wa 25 wa wakuu wa nchi za EAC unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC). Aidha, Rais wa…

Read More

Katika siku ya saba ya vita vya Mashariki ya Kati, hakuna kuacha mateso – Masuala ya Ulimwenguni

Siku saba tangu shambulio la Israel na Marekani nchini Iran kuzusha mashambulizi yanayoendelea katika eneo la Mashariki ya Kati, wahudumu wa kibinadamu walithibitisha kutokea machafuko makubwa nchini Lebanon, huku mamia ya makazi yakiwa yamejaa. vitongoji vyote vya Beirut vimeachwa. “Jeshi la Israel linavamia kusini mwa Lebanoni, amri za kuwahamisha watu katika vitongoji vya kusini mwa…

Read More

SBL Wakutana na Waziri wa Kilimo Chongolo Kukuza Kilimo

Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo Kwenye Picha ya Pamoja na Uongozi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Na Neema Adrian Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) jana ilikutana na Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, katika kikao cha kimkakati kilicholenga kuimarisha mnyororo wa thamani wa kilimo nchini, kuwawezesha wakulima na kuchangia maendeleo ya viwanda na…

Read More

Ibenge awageukia washambuliaji wake | Mwanaspoti

AZAM FC baada ya kucheza mechi mbili za Ligi Kuu Bara ugenini na kutoka sare zote, leo Jumapili itakuwa nyumbani ikiikaribisha Mbeya Kwanza katika hatua ya 32 Bora ya Kombe la Shirikisho la CRDB, huku kocha wa kikosi hicho, Florent Ibenge akisema kuna kitu amekishtukia kwa washambuliaji wake. Pointi mbili ilizovuna Azam kwenye mechi hizo…

Read More

Museveni achaguliwa mwenyekiti mpya EAC

Arusha. Rais wa Uganda Yoweri Museveni amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa kipindi cha kuanzia Machi 2026 hadi 2028, akichukua mikoba kwa Rais wa Kenya William Ruto aliyemali muda wake. Museveni amechaguliwa leo Jumamosi, Machi 7, 2026 katika Mkutano wa kawaida wa 25 wa wakuu wa nchi wa EAC unaofanyika katika…

Read More

Museven achaguliwa mwenyekiti mpya EAC

Arusha. Rais wa Uganda Yoweri Museveni amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Machi 2026 hadi 2028, akichukua mikoba kwa Rais wa Kenya William Ruto aliyemali muda wake. Museveni amechaguliwa leo Jumamosi, Machi 7, 2026 katika Mkutano wa kawaida wa 25 wa wakuu wa nchi wa…

Read More