Muya ataka mechi za kirafiki Coastal
KOCHA wa Coastal Union Mohamed Muya ameweka wazi mkakati wake kuelekea kipindi hiki cha mapumziko, huku akisisitiza umuhimu wa kucheza mechi za kirafiki ili kujiweka sawa kabla ya kurejea kwenye ushindani. Akizungumza na Mwanaspoti alisema kuwa, mapumziko haya hayapaswi kuwa ya kupoteza muda, bali ni fursa ya kurekebisha makosa yaliyojitokeza katika michezo iliyopita na kuimarisha…