BALOZI CP KAGANDA AKUTANA NA BALOZI WA ETHIOPIA KUJADILI USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA ETHIOPIA
Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Kamishna wa Polisi (CP) Mhe. Suzan Kaganda, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ethiopia nchini Zimbabwe, Mhe. Rashid Mohammed Abdulwahid, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Ethiopia. Katika mazungumzo hayo, Balozi Kaganda aliishukuru Serikali ya Ethiopia kwa kuendelea kudumisha urafiki wa muda mrefu na…