BoT YAFAFANUA SABABU ZA KUNUNUA NA KUUZA DHAHABU
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) amesema kuwa hatua ya benki hiyo kununua na wakati mwingine kuuza dhahabu ni utekelezaji wa matakwa ya sheria pamoja na usimamizi madhubuti wa akiba ya fedha za kigeni ya taifa. Akizungumza wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo, gavana huyo alifafanua kuwa kwa mujibu wa sheria…