Madhara wanawake wanaotumia steroidi kujenga misuli

Watu wanapofikiria kuhusu watu wanaokwenda vituo vya mazoezini (gym) huku wakitumia steroidi, picha inayokuja akilini mara nyingi ni ya wanamume wanaonyanyua vyuma vizito, kama Arnold Schwarzenegger, au washawishi wa kisasa wa mitandao ya kijamii wanaoonyesha misuli yao. ​Lakini leo taswira hiyo inabadilika. Wanawake sasa wanawakilisha sehemu inayokua ya watu wanaotumia steroidi.  Kitaalamu, steroidi kwa Kiingereza…

Read More

Fanya haya kuukwepa ugonjwa wa presha

Dar es Salaam. Ugonjwa wa presha, unaojulikana pia kama shinikizo la damu, ni miongoni mwa magonjwa yanayojenga hatari kubwa kwa afya ya moyo na mishipa. Wataalamu wanasema kuwa presha ya juu mara nyingi haina dalili za haraka, hivyo wengi huishia kugundua wakiwa tayari wameshajikuta kwenye hatari kubwa ya mashambulizi ya moyo au kiharusi. Hata hivyo,…

Read More

UWT KATA YA KANGARAWE WATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE UHITAJI

Diwani wa Kata ya Makangarawe Fadhili Mboga akizungumza katika hafla ya utoaji wa msaada wa vitu mbalimbali kwa watoto wenye uhitaji kwenye shule ya msingi Yombo Dovya Manispaa ya Temeke jijini Dar es salaam  leo tar 6/3/2026 Diwani wa Viti Maalum, Farida Saumu Mkwanywe akizungumza katika hafla ya utoaji wa msaada wa vitu mbalimbali kwa watoto wenye…

Read More

Kanuni ya siku 90 inavyoweza kubadilisha tabia

Dar es Salaam. Wataalamu wa saikolojia duniani wametengeneza ‘Kanuni ya siku 90’ kama mhimili wa mabadiliko ya tabia ya mtu, endapo jambo litafanyika kwa siku hizo mfululizo, inakuwa tabia. Limekuwa ni jambo gumu kwa mtu kubadili tabia, kwa mfano mtu anayetaka kuacha kunywa pombe, uasherati, au kutumia dawa za kulevya. Hata hivyo, wataalamu wanaeleza kwamba…

Read More

WANAWAKE WA ETDCO WATEMBELEA GEREZA LA MAHABUSU SEGEREA

Wafanyakazi wanawake wa Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji Umeme (ETDCO) wakiongozwa na Kaimu Meneja wa Rasilimali Watu na Utawala wa Bi. Grace Sondi wakikabidhi mahitaji mbalimbali kwa Mkuu wa Gereza la Mahabusu Segerea, Kamishna Msaidizi wa Magereza (ACP) Hamis Robert Ngaukia kwa ajili ya kuwafariji wafungwa wanawake na watoto…

Read More

WATAALAMU WALIOSOMA JAPAN WACHOCHEA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI

 :::::::: Wataalamu wa Kitanzania waliopata mafunzo nchini Japan wameelezwa kuwa rasilimali muhimu katika kuharakisha maendeleo ya sekta mbalimbali kwa kutumia ujuzi na teknolojia walizojifunza nje ya nchi. Akizungumza katika mkutano uliofanyika jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Msaidizi wa Ofisi ya Rais – Utumishi, Fadhili Mitimingi, amesema ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Japan International…

Read More

Manyara watakiwa kuchukua tahadhari ya uviko – 19

Babati. Wananchi wa Mkoa wa Manyara wametakiwa kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya maambukizi ya mfumo wa upumuaji, ukiwemo Uviko-19, licha ya kutokuwapo kwa kisa chochote kilichoripotiwa kwa sasa mkoani humo. Wito huo umetolewa leo Ijumaa, Machi 6, 2026 mjini Babati na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dk Andrew Method wakati akizungumza na…

Read More

Mjadala wa ubora wa wahitimu wawekwa mezani

Dar es Salaam. Wakati mjadala kuhusu ubora wa wahitimu wanaozalishwa na vyuo vikuu nchini ukiendelea kushika kasi, Serikali imeitaka Bodi mpya ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kuimarisha usimamizi na mifumo ya uthibiti wa ubora wa elimu ya juu ili kuendana na mahitaji ya soko la ajira. Kauli hiyo imetolewa leo Machi 6, 2026,…

Read More